NAIAMINI DAMU YAKO YESU
YouTube-Video
Beim Laden des Videos wird eine Verbindung zu YouTube (Google) hergestellt. Dabei können personenbezogene Daten übermittelt werden.
Einmalige Freigabe nur für dieses Video.
Beschreibung
NAIAMINI DAMU YAKO YESU (KMC)
1. Naiamini damu yako
Na Musalaba wako, Yesu
Mwokozi wangu wa Pekee,
Napata yote kwako.
Kwa mbio.:
Uliyoyaahidi Napata kwa imani.
Huwezi kuniacha mimi ;
Napata yote kwako.
2. Kwa damu nimetakasika ,
Na mto wa Uzima wako,
Waniletea nguvu tele,
Napata yote kwako.
3. Nafungwa kwa upendo wako,
Njiani Unaniongoza,
Na katika hatari Zote
Napata nguvu kwako.
4. Ninakupenda, Bwana Yesu,
Wanisikia niombapo
Wanipa jibu la maombi,
Napata yote kwako.
1. Naiamini damu yako
Na Musalaba wako, Yesu
Mwokozi wangu wa Pekee,
Napata yote kwako.
Kwa mbio.:
Uliyoyaahidi Napata kwa imani.
Huwezi kuniacha mimi ;
Napata yote kwako.
2. Kwa damu nimetakasika ,
Na mto wa Uzima wako,
Waniletea nguvu tele,
Napata yote kwako.
3. Nafungwa kwa upendo wako,
Njiani Unaniongoza,
Na katika hatari Zote
Napata nguvu kwako.
4. Ninakupenda, Bwana Yesu,
Wanisikia niombapo
Wanipa jibu la maombi,
Napata yote kwako.
