ALIKIBA ASEMA YEYE NI MWANAUME MASHINE

Mwananchi Digital 4. September 2017 1 Aufruf

Beschreibung

Mwanamuziki wa Kizazi kipya Alikiba amefika katika studio za Kampuni ya Mwananchi Communication Limited na kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusiana na muziki wa kizazi kipya ikiwemo wimbo wake mpya wa "Seduce me" alioutoa hivi karibuni na kufanya vizuri katika chati mbalimbali za muziki Tanzania pamoja na Afrika kwa Ujumla.