Corona: Je ni vipi mawigi yanaweza kusambaza COVID-19?

90 Aufrufe
Published
Kwa baadhi ya wanawake, wigi ni pambo muhimu kwa kichwa. Hata hivyo katika kipindi hiki cha COVID-19, hali ni tofauti, ikizingatiwa, wataalamu wamesema mawigi huweza kusababisha virusi vya corona kusambaa. Ahmad Juma na maelezo zaidi. #virusivya corona #COVID-19, #Kurunzi
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.