Mji wa Morbecque wawapima COVID-19 wakaazi wake wote

150 Aufrufe
Published
Licha ya kuanza kidogo kidogo kurejea kwa maisha ya kawaida nchini Ufaransa, mji wa Morbecque umeamuwa kuwa ni muhimu kuwapima wakaazi wake wote kujuwa nani ameambukizwa na nani yupo salama. Unaionaje hatua hii kwa upande wa mji wako ulipo inafaa?
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.