Raia wanapochukua hatua wenyewe kukabiliana na corona

88 Aufrufe
Published
Kutokana na ongezeko la idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na COVID-19 wananchi nchini Uganda wameamua kuchukua hatua wenyewe kudhibiti ugonjwa huo kwa kuwalazimisha wengine kufuata kanuni zilizowekwa. Video na Emmanuel Lubega. Kurunzi
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.