Sekione Kitojo: Taarifa ya habari za mchana 25.06.2020

118 Aufrufe
Published
Taarifa ya habari za ulimwengu mkisomewa naye Sekione Kitojo.

0:00 Mwanzo na utambulisho

0:35 Vidokezo

1:00 Urusi yapiga kura ya maoni inayoweza kumuongezea mihula Putin

2:06 Mkuu wa misaada ya kiutu wa UN: Yemen itaporomoka

3:30 Marekani yasema itatafuta vikwazo vya UN dhidi ya Iran

4:37 Korea kusini na Marekani zaadhimisha miaka 70 ya vita vya Korea

5:48 Maambukizi bado yanaongezeka duniani kote

7:06 Lufthansa kupata usaidizi kutoka
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.