Sharti la chanjo ya corona kwa mahujaji lawatanza Watanzania

82 Aufrufe
Published
Bado mamlaka zinazohusika na ibada ya Hijja nchini Tanzania hazijajuwa jinsi ya kulishughulishia tamko la serikali ya Saudi Arabia kwamba haitaruhusu mtu yeyote kuingia kwa ibada hiyo endapo atakuwa hakupatiwa chanjo ya maradhi hayo ya COVID-19. Hijja ni nguzo ya tano kwa waumini wa Kiislamu. Ahmad Juma analiangalia suala hilo kutokea jijini Dar es Salaam. Kurunzi 22.03.2021.
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.