"Silicon Valley" ya Benin yabuni programu ya COVID-19

195 Aufrufe
Published
Vijana wa Seme-City ya Benin, ambayo ni sawa na Silicon Valley ya Marekani, nao wameungana na wanasayansi wanaoinukia barani Afrika kwenye vita dhidi ya janga la kilimwengu la COVID-19 kwa kuunda programu ya kufuatilia walioambukizwa na pia kusambaza taarifa kuhusiana na ugonjwa huo. Kurunzi
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.