COVID-19 yafanya bei ya limau kuongezeka Kenya

151 Aufrufe
Published
Kufuatia dhana kuwa mchanganyiko wa limau, tangawizi, ndimu pamoja na kitungu saumu huweza kusaidia katika kukabiliana na virusi vya corona, bei ya limau imeongezeka zaidi nchini Kenya. Hiyo ni licha ya tahadhari kutoka kwa baadhi ya wataalamu wa afya kwamba dhana hiyo inapotosha. Thelma Mwadzaya anasimulia zaidi kwenye vidio hii ya Kurunzi. #Virusivyacorona #COVID-19
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.