Mwaka mmoja tangu Kenya itangaze mgonjwa wa kwanza wa COVID-19

121 Aufrufe
Published
Ni mwaka mmoja tangu kisa cha kwanza cha corona kutangazwa nchini Kenya. Shughuli ya kutoa chanjo inaendelea kote nchini. Hata hivyo wasiwasi mpya umezuka kuwa wimbi la tatu la maambukizi huenda likazua utata. Thelma Mwadzaya ametuandalia video hii kuhusu Kenya na mapambano ya COVID-19. #kurunzi 12.03.2021.
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.