Densi ya Mtaani yanoga Bonn

194 Aufrufe
Published
Kwa wakaazi wa Bonn Ujerumani, huhitaji sababu ndogo tu kuifanya siku yao iwe ya maana, kama hapa waliposhuhudiwa na Mohammed Khelef wakijimwaga kwenye densi ya mtaani. Kurunzi Ujerumani 10.07.2020.

Angalizo: Vidio hii ilichukuliwa kabla ya janga la COVID-19 kuanza.
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.