Simu inayopima joto la mwili yavumbuliwa Uganda

158 Aufrufe
Published
Ni simu ya mkononi ya kisasa inayoweza kupima joto la mwili ambayo imelenga kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.Video na Emmanuel Lubega. Kurunzi 20.08.2020
Kategorien
Corona Virus aktuelle Videos
Kommentare deaktiviert.